Panga namba za kiingilio chako ndani ya fremu ya dhahabu iliyoandikwa "WEKA NAMBA HAPA", kwa mpangilio sahihi kutoka kushoto kwenda kulia (au juu kwenda chini kama fremu imesimama). Kila nafasi ya fremu ina namba ndogo (1, 2, 3…) inayoonyesha nafasi ya kila tarakimu.
Mfano: kiingilio Tsh 500 → panga 5 · 0 · 0 ndani ya fremu ya dhahabu.
Ushindi sahihi: hatua kwa hatua
Mfano: kiingilio Tsh 500, kwa hiyo unahitaji 5 · 0 · 0 ndani ya fremu ya dhahabu (nafasi 1, 2, 3). Gusa Mbele kuona kila hatua.
Hatua za kucheza
Ukiwa na salio, gusa Cheza sasa kisha chagua kiingilio (50% hadi 100% ya salio), utaingizwa mchezoni moja kwa moja. Salio likiwa Tsh 300 au chini, Cheza sasa inakuingiza mchezoni moja kwa moja na 100% bila kuuliza %. Ukiwa huna salio, gusa Ongeza salio ili kuweka pesa kwanza.
Mwanzoni namba zote zipo mbali na fremu ya "weka namba hapa", lazima uzisafirishe.
Telezesha box moja iliyo jirani na nafasi tupu (+) kuelekea nafasi hiyo. Box zenye mstari mweupe ndizo zinazoweza kusogea.
Muda unaanza unaposogeza box ya kwanza. Namba iliyokaa sahihi inapata mwanga wa kijani.
Vishale vya kibodi (↑ ↓ ← →) pia vinasogeza box kwenda nafasi tupu.
Hizi SI ushindi: unapoteza muda na fedha
Namba zikipangwa vibaya, mchezo haujaisha: saa inaendelea kukimbia. Muda ukiisha bila mpangilio sahihi, unapoteza kiingilio chote.
Ushindi (mpangilio sahihi ndani ya fremu, muda bado upo)Tsh 500 → Tsh 1,000+Tsh 500
Kuta (box kubwa za rangi) na kufuli (box za mistari) hazisogei kamwe.
Umbo la uwanja hubadilika kila ngazi: mstatili, L, T, msalaba, U, ngazi-ngazi n.k. Kadri ngazi zinavyopanda, maumbo yanakuwa magumu zaidi na njia zinakuwa nyembamba.
Mchezaji mpya anapata sekunde 55 kwa raundi yake ya kwanza tu; baada ya hapo muda wa kila raundi ni wa nasibu na hauzidi sekunde 55 (kikomo cha ngazi yoyote ni sekunde 55).
Zana za msaada
Kidokezo: kinaonyesha namba ya kusogeza (inakugharimu sekunde 5, mara 3 kwa raundi).
Rudisha hatua: inarudisha hatua ya mwisho.
Acha raundi: baada ya muda kuanza, kuacha kunahesabiwa kama kufeli.
Akaunti ya DEMO na REAL
DEMO: ni ya mazoezi tu kwa salio la majaribio. Ina ngazi 300 pekee na pesa zake haziwezi kutolewa.
REAL: ni pesa halisi. Lazima uweke salio (deposit) kwanza. Ushindi unaweza kutolewa (withdraw).
Gusa kitufe cha demo+ / DEMO ✕ juu kubadilisha akaunti. Huwezi kubadilisha ukiwa katikati ya raundi.
Kuweka na kutoa pesa
Ongeza salio: chagua kiasi (kuanzia Tsh 1,500), utapelekwa kwenye ukurasa wa Pesapal kulipa, kisha utarudishwa kwenye mchezo. Salio linaongezeka baada ya malipo kuthibitishwa.
Toa pesa: kiwango cha chini ni Tsh 1,000. Ombi likikubaliwa, salio linapunguzwa na pesa zinatumwa kwenye namba yako.
Usifunge ukurasa wakati malipo yanasubiri uthibitisho.
Kanuni muhimu
Ukiwa katikati ya raundi, kuswipe au kubonyeza Back hakutakutoa mchezoni, tumia Acha raundi (inahesabiwa kama kufeli).
Mtandao ukikatika katikati ya raundi ya REAL, rudi haraka: raundi itaendelea ikiwa muda bado upo.
Ukishinda, ngazi inayofuata inaanza yenyewe kwa asilimia ileile ya salio. Rudi Wallet kubadilisha %.
Salio
Ukishinda, kiingilio kinaongezwa kwenye salio. Ukifeli (muda ukiisha au ukiacha), kiingilio kinapunguzwa. Akaunti uliyochagua: REAL.
Salio lako
Tsh 0
$0.00
Ongeza salio
M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa
Weka namba tofauti ya simu itakayopokea ombi la kuthibitisha malipo kwa PIN.